Ruvuma: Mkuu wa Mkoa awataka wakulima wa mahindi kutafuta soko popote pale

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Hii imejitokeza baada ya mahindi kudoda kwa kukosa soko. Wakulima waltarajia kwa sehemu kubwa,mahindi kununuliwa na Wakala wa Hifadhi ya Chakula.

Chanzo ITV, 05/09/2017

My take: Hii ni fursa kwa wajasiriamali na wafanyabiashara ya nafaka.
 
Serikali iache ubabaishaji...
Madhara ya kukosa soko mwaka huu,inamaanisha mwakani mahindi hayatakuwepo sababu watu hawatalima maana hawana hela,

Serikali iache kuingilia hii mifumo ya kilimo,mifumo hii ya kilimo inabidi ijiendeshe ili kuleta ushindani utakao kua na manufaa kwa mkulima..
Mkulima auze mazao yake nje na ndani ili mradi amepata soko.

Swala la njaa,serikali inabidi inunue chakula kinakopatikana iwe ndani au nje ila si kulazimisha watu waipe serikali chakula.
 
serekali haina hela
 
Hii imejitokeza baada ya mahindi kudoda kwa kukosa soko. Wakulima waltarajia kwa sehemu kubwa,mahindi kununuliwa na Wakala wa Hifadhi ya Chakula.

Chanzo ITV, 05/09/201807.

My take: Hii ni fursa kwa wajasiriamali na wafanyabiashara ya nafaka.
Sorry, nje ya mada.
Hivi "Main Topic" kama hii hapa niliyoi-quote hua inakuaga ni "muendelezo wa Title/Heading" au inakuaga ni "Ufafanuzi wa Heading"??
 
Title imejitosheleza. Au ulitakaje?
 
Title imejitosheleza. Au ulitakaje?
Sawa, je Mada au main Topic inejitosheleza??
Ukishaanza na "Hii imejitokezavbaada ya mahindi kudoda kwa kukosa soko...." ina maana sentensi yako mtu akiisoma kuanzia hapo bila kuangalia heading hatoelewa ulikua unamaanisha nini.

Kawaida "heading" ni kama summary tu, then unapoanza kuandika mada yako basi lazima uanze tena kuhusisha au kurudia heading ili hata kama mtu ataanzia hapo kuisoma aelewe unamaanisha nini.

lakini sio kama ulivyofanya wewe kua unaigawa habari nusu, kipande kiko kwenye heading na kipande kiko kwenye main topic
 
ASANTE NDUGU,NITAZINGATIA.
 
Serikali iache ubabaishaji...
Madhara ya kukosa soko mwaka huu,inamaanisha mwakani mahindi hayatakuwepo sababu watu hawatalima maana hawana hela,

Serikali iache kuingilia hii mifumo ya kilimo,mifumo hii ya kilimo inabidi ijiendeshe ili kuleta ushindani utakao kua na manufaa kwa mkulima..
Mkulima auze mazao yake nje na ndani ili mradi amepata soko.

Swala la njaa,serikali inabidi inunue chakula kinakopatikana iwe ndani au nje ila si kulazimisha watu waipe serikali chakula.
Serikali iliwazuia wafanyabiashara kuuza mahindi kenya! Ilihali Kenya ndio soko kubwa la mahindi mpaka mengine huwa yanatoka Zambia kwenda Kenya,
Tena PM akaweka msisitizo kabisa.
Sasa wanakuja kutuambia tukauze popote, ina maana lile katazo limefutwa?
Mbona wababaifu sana hawa viongozi?
 
Yaani wakulima tunafanywa kama mbuzi tu .Soko lilikuwepo tena kubwa tu kuanzia mwezi Wa sita. Wakulima waliuzia watu binafsi kwa 500 mpaka 600 kwa kilo.
Ila baada ya mh.waziri mkuu kuzuia kupeleka Kenya na kufunga mipaka bei nayo ikaporomoka vibaya mno.
Kwa hiyo mkuu wa mkoa hatumuelewi kama wakulima.
Serikali ndio tatizo kwa wakulima wa mahindi.
 
Lakini,serikali hiyohiyo imetoa ruzuku ya pembejeo,ili gharama za uzalishaji zipungue mwakani. Huenda hili tatizo la bei ndogo sokoni nalo likafanyiwa kazi
 
Sote tuisome namba,si mtumishi,si mfanyabiashara,si mkulima wote tuliiii tunanyolewa!!!
 
Back
Top Bottom