KAPURO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 235
- 153
Natumaini wazima wa afya, Nilikuwa mkimya kitambo kidogo nilikuwa shambani kwenye field baada ya kusoma maandiko mengi na sasa nategemea kuvuna matikiti tarehe 5 mwezi wa Tisa.
Tafadhali kama kuna MTU anajua hali ya soko la Dar anijuze, Pia kama kuna MTU anamtandao na wasambazaji kwa njia ya tenda naomba pia anijuze Namba Yangu ni 0753359245. Niko Mlandizi Kibaha.
Asanteni sana.