Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Irrigation Potential Lake Victoria, Tanzania – FutureWater Utafiti ulishafanywa tokea mwaka 2008 sijui kiliendelea nini. Kuna mmarekani alipitia maeneo ya ziwa anasema ziwa Victoria liko katika...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Asilima kubwa ya raia Tanzania ni Wakulima vijijini na hawa watu wengi wao wanateseka sana kwa ugumu wa maisha unaowakabili siku hadi siku. Wakulima wanataabika kulima kwa jasho lao tena kwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
KWA MAHITAJI YAKO YA MASHINE YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA(INCUBATOR).TUNAKUTENGENEZEA MASHINE HIZI KWA UKUBWA UNAOHITAJI.UNAPEWA GARANTEE YA MWAKA MMOJA.WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI. 0784999995...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KAMA KUNA MTU ANAHITAJI ASALI MBICHI INAPATIKANA SINGIDA MANYONI ZIPO DUMU 40 ZA LITRE 20
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Salaam kwenu wadau wa kilimo.Kuna tetesi kwamba serikali imezuia kusafirisha nataka hasa mahindi nje ya Nchi na pia kati ya Mkaa na mkoa. Manake haiingii akilini Sunbawanga na MBEYA gunia la debe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni tumaini langu wote wazima. Naomba mwenye uelewa na hili jambo anifahamishe. Ni certificate gani inayohitajika,na inatolewa wapi kwa ajili ya kusafilisha matunda nje ya nchi. Natanguliza shukurani
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kilimo kimekuwa kikinadiwa na kupigiwa upatu na wahamasishaji wa aina mbalimbali hususani wale wanaosisitiza kulima kibiashara na kuwapa watu matumaini bila kuwadokeza vitu mhimu ambayo...
9 Reactions
33 Replies
7K Views
Ningependa kujua bei ya gunia ya ubuyu vijijini dodoma
0 Reactions
1 Replies
45K Views
Habari zenu watafutaji wenzangu Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimeanza kufanya mradi wa kufuga kambale lakini tatizo na changamoto nilizo nazo mpaka sasa bado sijapata soko ambapo wanaweza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
JF, Somo tajwa hapo juu lahusika. Bei ni shilingi 200,000 kwa kila lita20 sawa na 10,000kwa kila lita moja. Nauza kwanzia lita 20.
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Tafadhali mwenye taarifa za kilimo cha soya,mchanganuo wa gharama kwa ekari na masoko.Changamoto zake n.k.Nimepenyezewa habari kuwa Songea mwaka huu wengi wametajirika na kilimo hicho.Karibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wiki ijayo ndo show inaanza so mimi nitakuwepo Nairobi
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau habari za Majukumu, Ningpenda kufahamishwa vilipo viwanda vidogo ama watengenezaji wa vyakula vya mifugo hususani kuku kwa maeneo ya Songea. Nikipata na mawasiliano yao itakuwa vema...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu kwa yeyote mwenye mahindi naitaji tani 30 napatikana dar ukiwa nayo nipigie kwa namba 0755405027,0715405027.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu hapa kati nilikuja na uzi wa kusema natafuta kuku wa kienyeji wasiochanjwaa.... Niliweza kufanikiwa kununua kuku sehemu tofauti na wengine nilipata kutoka mbeya ila walivyofika...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Kwa wale wote wanaofanya ufugaji pamoja na wanaotaka kufanya ufugaji ww samaki. Sasa vifaranga bora vya kambale aina ya clarias gariepinus wanapatikana kwa bei Rahisi sana. Nitafte kwa...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Wana week 7 ni wakubwa nawarefu wenye afya Bei Kwanzaa 60000 kwa mawasiliano tupigi au msg 0625588676
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nina haja kwa wale wanaodeal na ujenzi wa mabwawa ya samaki, Ukijumuisha na uuzaji wa vifaranga, na chakula cha samaki na pia wataalamu wa masoko. Kama upo katika shughuli hizo usisite kuja PM...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu Wanajamvi ! Asalaam Aleykum / Bwana Asifiwe / Tumsifu Yesu Kristo. Mimi ni Mjasiriamali mdogo na nimebahatika kupata eneo la heka 10 lenye udongo mzuri wenye rutuba. Yaani ardhi ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom