Kilimo cha Tangawizi

Kilimo cha Tangawizi

J Gwelino K

New Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Habari wadau,

Niko na kamtaji kangu nataka nilime Tangawizi pale Same nimepata fununu kuwa pale ndo msimu wake huu. Naombeni mwenye utambuzi kdogo anisaidie.

1. Gharama ya kukodi shamba Ekari moja
2. Gharama za kuandaa shamba
3. Gharama za mbegu
4. Gharama za mbolea
5. Gharama zingine(Etc)

At last nijue mavuno kwa ekari moja na pesa yangu itarudije ikiwa nitapanda mwezi huu wa 11

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom