Naomba Ushauri Kutoka kwenu kwa kipindi hichi cha Mvua za vuli Mbegu gani ya Mahindi

wirewizard

Member
Feb 14, 2014
75
56
Mimi ni mkulima ambaye Niko maeneo ya Bagamoyo ..Mkoa wa Pwani...Nataka kulima mahindi kipindi hichi cha mvua za vuli ....Je nitumie Mbegu gani ya mahindi..?..Ili nipate mavuno mazuri.
 
Mimi ni mkulima ambaye Niko maeneo ya Bagamoyo ..Mkoa wa Pwani...Nataka kulima mahindi kipindi hichi cha mvua za vuli ....Je nitumie Mbegu gani ya mahindi..?..Ili nipate mavuno mazuri.
Ngoja Waje watusaidie, hata mimi Shida yangu ni hiyo hiyo.
 
Stuka- ni ya muda mfupi na inastahmili ukame hasa ukizngatia mvua za vuli znawah kukata Mara nyingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom