Chuo cha Uandishi wa Habari

Chuo cha Uandishi wa Habari

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
728
Reaction score
320
Wadau,
Ninatafuta mtu aliyesajiri chuo cha uandishi wa Habari na Utangazaji NACTE au VETA naomba kuwa wakala wake mkoa wa Mbeya. Ina make profit sana. Naomba tuwasiliane kwa PM

Nipo tayari muda wowote na nina vifaa vyote mpaka madarasa yeye ni kutoa vyeti tu hata walimu ninao.

Ndaga fijo
 
Back
Top Bottom