Kama unalima kwa kuzingatia kanuni za Kitaalam; anza kwa kuandaa Shamba lako kwa Trekta gharama kwa Ekari moja hazizidi elf 50, baada ya hapo sawazisha Shamba, umbali wa mraba na Mraba ni sm 100 au mita 1, umbali wa shimo na shimo kwenye mraba ni futi 1, Palizi zinatakiwa ziwe mbili, kama hali ya hewa ni nzuri na umetumia mbegu bora ekari moja inatotoa Gunia 16, ila wastani ni Gunia 8-12!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.