Avocado inayopatikana Tanzania ni aina gani?

Avocado inayopatikana Tanzania ni aina gani?

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,314
Reaction score
7,208
Habari, kwa wajuzi wa Mambo ya KILIMO, Avocado inayopatikana Tanzania inaitwaje kitaalam? Nimeona kama South Africa wanazo aina 3
Hass, Fuerte, and Puebla...

Tanzania tuna aina gani?
Shukrani.
 
Habari, kwa wajuzi wa Mambo ya KILIMO, Avocado inayopatikana Tanzania inaitwaje kitaalam? Nimeona kama South Africa wanazo aina 3
Hass, Fuerte, and Puebla...

Tanzania tuna aina gani?
Shukrani.
Kwa Njombe na Iringa wanalima HASS na yanasafirishwa kupelekwa USA, kuna wamarekani ndio wananunua na kupeleka uko
 
Kuna ile miavocado inayochukua miaka 7 tangu kupandwa hadi kuanza kutoa matunda, yanaitwaje?
 
Habari, kwa wajuzi wa Mambo ya KILIMO, Avocado inayopatikana Tanzania inaitwaje kitaalam? Nimeona kama South Africa wanazo aina 3
Hass, Fuerte, and Puebla...

Tanzania tuna aina gani?
Shukrani.

Hass na Fuerte ziko sana, Arusha zimejaa mno
 
Kwa Njombe na Iringa wanalima HASS na yanasafirishwa kupelekwa USA, kuna wamarekani ndio wananunua na kupeleka uko

Nimeskia pia njombe kuna kiwanda kikubwa kinajengwa cha ku process na ku pack avocardo kwa soko la ulaya! Kuna ukweli wa hili??
 
Nimeskia pia njombe kuna kiwanda kikubwa kinajengwa cha ku process na ku pack avocardo kwa soko la ulaya! Kuna ukweli wa hili??
Parachichi ya Iringa ikifika Switzerland inauzwa $3 { Tshs 6,771 } kwa parachichi moja. Na wakati apa DSM tunanunua Tshs 300
 
Kule kwao mkuu Avacado ni $2.50
Ndio tukalime sasa, tukimbie tukimbie apa mjini. Maana Pesa ipo katika kilimo tuu, sema zisiingie siasa. Kuna ndugu yangu alikuwa analima makakala{Passion fruit} amezuiwa na mamlaka ya mkuu wa mkoa kwamba apa mjini haruhusiwi kulima apa Dar es salaam kwamba ni sehemu ya makazi ya watu aitakiwi kulima sijui imekaaaje? Siasa nyingi sana katika vitu serious
 
Kanda ya ziwa kuna avocado za hovyo kabisa. Zimejaa maji na wala hzina ladha kama za moshi ambazo zipo kavu, zenye ladha kama nazi, zenye mafuta n.k
 
Nimeskia pia njombe kuna kiwanda kikubwa kinajengwa cha ku process na ku pack avocardo kwa soko la ulaya! Kuna ukweli wa hili??
Ni kweli kule Njombe kuna Kiwanda kinajengwa kwa ajili ya kuprocess Ovacado.
 
Back
Top Bottom