farmersdesk
Senior Member
- May 26, 2012
- 164
- 127
Homa ya Matumbo (Fowl Typhoid)
Ugonjwa huu husababishwa na Bakteria na huwapata kuku wa umri wote.
NAMNA UNAVO ENEA
huambukizwa kutoka
kwa kuku wagonjwa kwenda kwa kuku wasio wagonjwa, kupitia kwenye
mayai, chakula chenye kinyesi cha kuku wenye ugonjwa pia watu iwapo watabeba vimelea na kuja
navyo kwenye banda.
Jinsi unavyoambukiza
Kuku asiye mgonjwa kula vimelea vya ugonjwa kupitia kinyesi cha kuku mgonjwa kwenye
chakula.
Kuku mgonjwa huweza kurithisha vifaranga wake kupitia mayai aliyotaga.
Watu na vyombo vya usafiri wanaweza kuhamisha ugonjwa kutoka sehemu hadi sehemu
Vyakula vya kuku kutoka sehemu yenye ugonjwa kwenda kusiko na ugonjwa.
Mizoga ya kuku yenye ugonjwa ikipelekwa sehemu isiyo na ugonjwa.
Dalili :
Homa kali.
Manyoya husimama.
Kinyesi kuonekana kuganda sehemu ya nyuma.
Kukosa hamu ya kula.
Kuku kudhoofika.
Kiwango cha utagaji hushuka.
Kinga :
Tenganisha vifaranga na kuku wakubwa.
Kuku wagonjwa watengwe na kupewa tiba ya antibiotic.
Zingatia usafi wa banda na vyombo vya chakula na maji.
Matibabu :
Dawa aina ya DOXCOL wape kuku vijiko vinne vikubwa kwenye ndoo ya Lita ishirini ya maji.changanya vizuri wape kuku wako kwa siku saba.
Au trimafarm30% huchanganywa kwenye maji na kupewa kuku,changanya kijiko kimoja kikubwa kwenye ndoo ya 20 lita wape kuku kwa muda wa siku saba baada ya matibau wape kuku stress vita kwa siku tatu mfurulizo.
Karibuni sana