Wadau, baada ya kusoma sana mada mbalimbali zinazohusu tikiti na kuelewa, nilijipanga na kumtafuta mtaalamu atakaeweza kunisimamia na kilimo cha tikiti, Mungu ni mwema nilimpata na mwezi wa 9 nilianza, nimelima heka 3, mbegu ni kutoka balton Arusha, na baada ya wiki tatu yatakuwa yanaanza kuvunwa, shamba liko Korogwe Tanga so wandugu
1. nashukuru sana kwa elimu na michango yenu iliyopelekea kunifikisha hapa
2. Naomba kama kuna mtu anaefahamu mtu anaeweza kununua ili nianze kufanya nae mipango mapema, ukiwa interested pls njoo PM tuyajenge (nimejaribu kuapload picha nyingine zinagoma)