SHAIDI
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 291
- 142
Habari,
Baada ya Hali kuwa ngumu hapa Mjini Dsm nimefikiri naweza a nzia shambani kwa kuwa Dsm na Morogoro ni karibu hivyo naomba kufahamisha mambo kadhaa
1. Naomba kujua sehem Nzuri nayoweza Lima mahindi na maharage
2. Bei ya kukodi shamba kwa eKari au kama kuna jamaa anaweza niazima shamba nitashukuru sana.
3. Msimu wa kuanza kulima na kupanda n.k
4. Mbegu Nzuri ya maharage na mahindi kwa eneo husika
5. Guarana za kulima, kupanda, Palizi na kama mbolea utumika no Aina gani?
6. Au kama kuna Ujuzi mwingin
e uhitajika
0715034565