Msaada: Jinsi ya kuzuia kunguru katika shamba la karanga

Ua mmoja umning'inize miguu juu kichwa chini kwenye kijiti kirefu,
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Ushaur wa jamaa hapo juu fanyia kazi ukishindwa tengeneza sanamu za binadamu kwa material uwezayo pata na weka angalau 4 shamban zikiwa katika mithiri ya kurusha rungu hewan-kumbuka kuzivalisha nguo zako
 
Nitumie mtego gani kumkamata kunguru?
 
Back
Top Bottom