theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
..
Inafaa ilimradi hawajapata maambukizoJe kama kuku wangu sikuwapa chanjo tangu wakiwa wadogo, chanjo hii inawafaa wakishakuwa wakubwa kabisa?
Mdondo ndio kideri na ndio New castle d'seIla mdondo si ugonjwa tofauti na kideri?
Basi huku kwetu wanachanganyaMdondo ndio kideri na ndio New castle d'se