Nini ukweli kuhusu layers and broiler concetrate?

Nini ukweli kuhusu layers and broiler concetrate?

kunako

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
44
Reaction score
18
Habarini za usiku wana janvi wenzangu ,nimekuwa mfuatiliaji wa vyakula vya mifugo kwa ujumla kwa undani,laikini nimekuwa nikishangazwa na hiki kitu kinaitwa concetrate ambayo uchanganywa na pumba alafu na kuwapatia kuku kwa minajiri kwamba pumba kilo mbili inachanganywa na kilo moja ya concetrate ,je ni kweli hizi concetrate za kuku zinafanya kazi na kama ni kweli kwa nini makampuni makubwa ya chakula hawatengenezi mfano Falcon,Hill,Energy? kwa anae fahamu naomba anisaidie kuhusu hili suala
 
Mhhh..wacha na mimi nitege hapa naweza pata la kujifunza.Big up kunako kwa swali zuri,japo ni usiku naamini watakuja wanaojua.
 
Mhhh..wacha na mimi nitege hapa naweza pata la kujifunza.Big up kunako kwa swali zuri,japo ni usiku naamini watakuja wanaojua.
ni kweli ni usiku naamini watakutana na hilo jambo na tutapata majibu toka kwa wajuvi
 
Ni ukweli. Nimeona huku Uganda kuna kampuni ya wakenya wanajiita kukuchik wanayo hiyo product ila unachanganya na pumba na mahindi parazwa ( broken maize ). Ngoja nikipata hilo jina la hiyo concetrate nitalitaja.
 
Back
Top Bottom