Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nisaidieni nipate kuona majina ya wanachuo zaidi 20000 waliopewa mkopo 2016/2017 Nimeshindwa kuangalia mtandaoni
1 Reactions
2 Replies
946 Views
njia bora ya malipo ni ipi kati ya hizi, Global digitalpay perfect money moneybpokers paypal payza. msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Wadau naomba tufahamu nikifungua kitu kwakutumia incognito mode kwenye chrome browser inawwza kuzuia mtu asiweze kupata location nilipo(hacking) kama nitakavyotumia VPN?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ulishawahi kutafiti kuhusu role model wa jf? ofkoz jf iko poa sana ila lazima kna forum wanayoicopy kwa % kubwa,je ni forum ipi hiyo?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Follow this link YOUTUBE MONEY
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nina TV ya Sony Bravia 24 inch ilipigwa na radi.Kwa hiyo natafuta Sony service centre niwasiliane nao waweze kunibadilishia motherboard ya hii TV.Kwa ambaye ana contact nao naomba anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, wanaJF kuna sehemu nipita nimekutana na hichi kitu embu jaribuni muone wenyewe e-wallet - Android Apps on Google Play
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nina matatizo mawili kwanza computer yangu ni HP pavilion g4 inanguruma abnormal kwenye feni baada ya kushusha window 7 na kuweka nyingine same type. Pili kwa wale wanaojua kutumia statistic...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni jinsi ya kumblock mtu kwenye group la whatsup ,kwa maana mimi kila nikimblock mijitu ambayo inapost pumba kwenye group bado nayaona tu pia na post zangu wanaziona mpaka nachukia...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Salam wakuu, Kwa wale wanaopenda kugain followers insta (even 500) per day nakuendelelea kwa lengo la kutangaza biashara zao, nk. Download app inaitwa Real followers for instagram ni app ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua namna ya ku-upgrade simu yangu Halotel H8501 kwenda Mashmallo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau nimeletewa simu na ndugu yangu kutoka marekani kwa trump, sasa cha kushangaza haisomi sim card za hapa kwetu, naombeni msaada jaman ktk hlo nafanyaje?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni procedure gani nifuate kuinstal playstore kwenye pc Dell typical
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kutokana na facebook ilivyo unaweza kuombana urafiki na mtu usiyejua tabia zake au mienendo yake, urafiki utakuwepo kama haupo kwa siku kadhaa kisha kuna siku unaamka unakuta notification kua...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari! Naombeni msaada hapo, nimefanikiwa kuweka biss keys hapo ktk wiz8035, tatizo ni namna ya ku save, nabonyeza wapi? Maana hicho chekundu kimeandikwa save lakini kama hakifanyi kazi. Ahsante!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale watumiaji wa instagram wanafaham kwamba ni almost impossible ku download au ku save picha moja kwa moja kutoka instagram, zaidi wengi huamua ku screenshot. Sasa ku save picha au video...
0 Reactions
12 Replies
16K Views
Wakuu nataka art mbalimbali ktk modifies hii cursor ktk laptop yangu kuna mtu nilimkuta ana cursor akisogeza kuna kapaka kanaifata je ni software gani izo
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Hi jf member kwa yeyote anayejua kutengeneza website ile ya bure (blogspot.com) naomba anisaidie kutengeneza coz nimefanya kila njia kwa ajili ya kutengeneza ila nimeshindwa nitamtoa hata ya soda...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Hi jf member kwa yeyote anayejua kutengeneza website ile ya bure (blogspot.com) naomba anisaidie kutengeneza coz nimefanya kila njia kwa ajili ya kutengeneza ila nimeshindwa nitamtoa hata ya soda...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
habari wanajamii, najitokeza kwenu kuomba msaada jinsi ya kuweza kupata application ya kuniwesha pats vitabu online
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…