Msaada: Jinsi ya kumblock mtu kwenye whatsup group

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,257
Reaction score
34,547
Wakuu nisaidieni jinsi ya kumblock mtu kwenye group la whatsup ,kwa maana mimi kila nikimblock mijitu ambayo inapost pumba kwenye group bado nayaona tu pia na post zangu wanaziona mpaka nachukia

Sasa kama kuna njia ya ziada ya kumblock mtu kwenye group niambieni
 
[emoji12] Toka kwenye group la udaku
Hamia kwenye group la Muhas
 
Bahati mbaya whatsapp unaweza kublock contact na kuzuia kuwasiliana na mhusika ila kwenye grup mlilopo pamoja ataweza kuona mada zako na kuchangia na wewe utaweza kuziona zake.

Mbadala wa hiki kitu labda ni kumute group ili uondoe usumbufu wa kila muda post kuingia na kisha unakuta ni utumbo.

1: Unaingia katika grup unalotaka kumute na kubonyeza menu.

1479678838824.jpg

2: Kisha utabonyeza mute.

1479678850852.jpg

3: Utachagua unataka kumute kwa muda gani kisha utabonyeza ok.

1479678861932.jpg

Suluhisho la mwisho ni kujitoa kutoka kwenye grup husika.
 
Bahati mbaya whatsapp unaweza kublock contact na kuzuia kuwasiliana na mhusika ila kwenye grup mlilopo pamoja ataweza kuona mada zako na kuchangia na wewe utaweza kuziona zake.

Mbadala wa hiki kitu labda ni kumute group ili uondoe usumbufu wa kila muda post kuingia na kisha unakuta ni utumbo.

1: Unaingia katika grup unalotaka kumute na kubonyeza menu.

View attachment 437063

2: Kisha utabonyeza mute.

View attachment 437064

3: Utachagua unataka kumute kwa muda gani kisha utabonyeza ok.

View attachment 437065

Suluhisho la mwisho ni kujitoa kutoka kwenye grup husika.
poa mkuu shukrani
 
Back
Top Bottom