MSAADA KWA ANAYEWEZA KUTENGENEZA WEBSITE

Said Mshana

Senior Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
105
Reaction score
152
Hi jf member kwa yeyote anayejua kutengeneza website ile ya bure (blogspot.com) naomba anisaidie kutengeneza coz nimefanya kila njia kwa ajili ya kutengeneza ila nimeshindwa nitamtoa hata ya soda jamani anayeweza please nisaidie Nichek 0678895505
 
Nitafute Inbox nikupe kitu
 
Back
Top Bottom