Habari waungwana,
Nimekuwa nikitafuta namna ya kuunganisha computer system unit moja - watumiaji wanne au zaidi. Kwenye maduka nimekosa hivyo vifaa vya kufanyia connection, nimeenda ofisi moja...
Wadau habarini za jioni
Nipo dar...na nimeanzisha kibanda cha kuuza movie na series (Za ulaya na Marekani) kwa wateja hasa vyuoni.Sasa nahitaji kuteka soko kwa kutumia software ambayo kama nikimpa...
Habari za muda huu wana JF.
Napenda kuwataarifu kuwa sasa kuna decoda zijulikazo kama strong 4922 ambazo zipo vizuri sana kwa kupata chanel nyingi zaidi kuliko decoda nyinginezo...
Ukiachana na password ya kufungulia computer, kuna password ambayao hutumika kuweka usalama (security) ya computer kwa ajili ya virus, ku install program au kubadili progaram za computer, sijui...
Smartphone ni simu ya mkononi inayotumia "mobile operating system" kama vile "ios","Blackberry 10 Os","Windows mobile 10 OS","Android,Sailfish","Tizen" kwa kutaja chache inayofanya kazi kama vile...
Janani, anatafutwa fundi ambae ataweza kutengeneza local Network mkoani mtwara...
room ziko tano ambazo inatakiwa computer zake zote ziwe shared
kama uko vizuri ni pm
Mimi niko Moshi, Ninatumia DSTV na Azam. Niliweka Azam as nilihisi labda wataweza wakawa wanaonyesha EPL, Italy, Germany na Spain. Lakini hawajaweza mpaka sasa! Natumia DSTV kwa sasa ila...
Kwa wale fans wa Windows phone, Tayari annivesary update kwa windows phone ishatolewa kwa baadhi ya simu zinazotumia windows. Binafsi natumia Lumia 640, Mwaka jana nilisema ngoja nitest ladha ya...
Naishi Mbezi Njia ya kwenda Makabe. Nimefunga Azam dish yapata miezi 10 sasa. Bahati mbaya siku ya tatu leo limepoteza chanel zote local isipokuwa Azam sport HD, Star Tv na Tv1. Chanel za nje...
Habaru wanajamii naomba kuuliza kati ya window 10 na 8.1 pro ipi nzuri na effective na pia program gani nyingine ni nzuri ku i keep pc yako safe secured with high speed.........
habari za kazi waungwana
twende moja kwa moja kwenye topic.
siku za hivi karibuni biashara ya blog imekua ikikua kwa kasi sana hapa nchini kwetu.na vijana wengi wamekua wakitamani sana kuitumia...
WHAT WE’RE LOOKING FOR:
Disruptive digital ideas to improve the way that news is collected and disseminated.
By digital ideas, we mean tools or strategies that use the Internet, mobile platforms...
Cant be opened using the built-in adminstration account wakuu huu ujumbe unajitokeza sana ktk baadhi ya apps kama kamera,store na zinginezo natumia win 10 sasa niliwahi restart machine na kucreate...
kwa muda mrefu kidogo nilikua napata kuona bure baadhi ya stesheni za startimes kupitia code no 530 570 578 ila wiki ya pili zimepotea na kila niki sachi hazipatikani tena ama wamestuka?