Pata tv zote duniani zilizoko kwenye satellite | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata tv zote duniani zilizoko kwenye satellite

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mathias Byabato, Feb 17, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  wazee ebu gonga hapa kisha tafuta jina la bara,kisha nchi kilipo kituo utakjacho,utapata s.rate,nk ambazo utaingiza kwenye receiver yako na kupata access

  byabato
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  mhhh unafikiri ni rahisi hivyo.

  ebu toa mfano wewe umepata acess ya chanell gani kutumia satelite ipi kwa kutumia maelezo yaliyo kwenye page uliyotoa.

  Nijuavyo mimi kila kila sateli na channel zina kitu kama code/key. Kwa hiyo hata kama unadecoder DSTV bado utahitaki kuwa na key au algorith maalum ili uate channel zote za DSTV

  • Ukilipia Kadi yako inawekewa key hizo za kukuwezesha kuona hizo channel
  • Kama hutaki kulipia inabidi utafute software za ku scramble .
  So its not as simple as u think. Unless onaongealea kupata Free channel amabzo hazina key au haziko coded.
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu sijajaribu hii anayosema jamaa lakini kuna kipindi kuna watu walikuwa UK walikuwa wanaweka Codes kwenye TV Boxes zao na wanaangalia channels zote za duniani bure... Its not hard kupata hizo codes na kuna website zinazo hizo codes ila kila mwezi huwa wanabadilisha codes kwahiyo inabidi ufungue tena... Though I dont know mtu ambaye ametumia hapa Tanzania lakini I see why not... Ukitaka naweza nikakutafutia hiyo website lakini am not sure kama itafanya kazi bongo...
   
 5. b

  bakarikazinja Senior Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tumekusoma kaka ngoja tujaribu kugonga
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Yah uko sahii ndio nilichokata kusema zaidi ya hizi information alizotoa jamaa inabdi mtu ujue wapi pa kupata codes za kudecrypt .

  Its a useful informtion byabato katoa watakaoshindwa itabidi watafute pa kupata hizo code.
   
 7. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kwanza gonga hiyo link ,kisha ndo utoe hoja
  hapa mimi naongelea channel zinazopatikana kwenye satellite kwa kila nchi dunia nzima.

  Kwa mfano wewe unaongelea channel ipi uiliyokosa na ipo nchi gani nikutafutie kwa kutumia link hiyo

  kuna ambazo hazipo kweli lakini inategemea unataka ipi
  kwa mfano Nchini afrika kusini nilitaka kupata supersport 1-3 nimekosa bali kuna supersport 9 tu
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Ok ebu nipe darasa DSTV wanatumia satelite gani ? auhiyo super sport 9 umeipata kwenye satelite gani ?

  Maana satelite iliyo juu eg Eutelsat W7 au Intelsat 7 ndiyo muamuzi channle gani waweza kupata na zipi huwezi.

  Na hata dish na la nyumbani linawekwa kwenye mkao fulani ili lipokee matangazo ya satelite fulani tu. Dish haliwezi kupokea matangazo yasatelite zote Sababu satelite zenyewe ziko katika position tofauti tofauti (logitude na latitude)

  Kwa hiyo cha muhimu kwanz a mtu ajue ni satelite gani linarusha matangazo anayopata au ni satelite gani inawasiliana na dish lake. Then ndo anaweza kuangalia uwezekano wa kuchakachua ku scramble channel amabzo haoni. Kama alivyosema VOR sometima wanabadilisha code kila mwezi
   
 9. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nakubaliana na wewe mkuu mtoa mada kakurupuka, angelijaribu kisha akatueleza alivyo fanikisha, hiyo page sio ngeni.
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuu nilishajaribu na kufanikiwa baada ya kazi kubwa na baada ya siku chache channel ikapotea ndio maaana nakumbia sio rahisi hivyo.

  Wakati nataka kujifunza zoezi hili nilianza hapa nipate kujua kwanza channel zote za DST DStv - Wikipedia, the free encyclopedia

  Unless ni kupata channel za free link uliyotoa haiwezi kumuwezehs mtu kupata channel za kulipia.
   
 11. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Me hapa nilipo natumia box linaitwa maxx 1000 pamoja na dish lake lina engine ambayo inazungusha dish sio lile dish la kukaa sehemu moja tu....na before nilikuwa natumia normal boxes ambazo zilikuwa zinakata kata sana na kuhitaji niingine online na kutafuta code nikaona hii mizinguo tu ila sasa hivi natumia hili la maxx 1000 ninalo kwa mwaka wa pili sasa....ila lenyewe linatumia internet so codes zikitoka tu siendi online bali zina ji update zenyewe automatically.... Bora zaidi kutumia internet baada ya kuweka code kila siku maana hili langu napata mpaka zile channel za aljazeera sport 1-10 ila nasikia wengine wanalipia napata pia pamoja na sky sport za bure kabisa napata mipira ya champion league pamoja na premier league kama wanaonyesha hata mipira 5 basi yote nitaangalia na nitachagua nini nataka kuangalia...so sijui kwa bongo kama itakubali..... inaonyeshwa premier
   
 12. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Na mimi naombeni msaada kidogo ina maana nikitaka kukamata channel za nyumbani kama walivyosema hapa

  Free TV from Tanzania - LyngSat

  Je si itabidi nizungushe dish na kama yes it mean nitapoteza channel nilizonazo sasa hivi si ndio au??Nipeni ushauri zaidi
   
 13. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Usiwe na shaka mkuu Voiceofreason, nina mtu mabye amekuwa akitumia hii issue muda mrefu sana tu hapo Bongo na wala si issue kabisa. Inawezekana.
   
 14. D

  Derimto JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tumekupata m2 wangu hii ni bomba
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hapo umeeleza mambo ambayo ndiyo nilitaka watu wafahamu. Sio kila dish linaweza kupata channel zote duniani.

  • Kwanza sababu dish lako linazunguka ndio maana linaweza kupokea signal za za satelite yeyote ile . Kwa madish yaliyo static hayawezi kupoekea signa za sateliye yeyote.

  • Pili hata dish lako linazokunguka bado linahitaji kuwa na code kupata zile channel zote. Sasa kwako wewe box liko connected na internet na linawasiliana na sever fulani inayoupadate code kadiri jamaa wanavyobadilisha . So bilahivi kila siku chache ungekuwa na kazi ya kutafuta hizo code manually
  Ndio maana nilisema sio rahisi kama alivyosema. Kwa tanzania hata baadhi ya watu ulaya ambapo madish mengi yako static na ma box mengi hayako connected na internet inabidi mtu mtu ajue wapi pa kuwa anapata code kila baada ya siku chache.

  kwa hiyo watu wakishidwa wasidhani maelezo ya jamaa ni ya uwongo bali wajue scrambling code zinabadilika badilika. Na ndio maana nilisema sio rahisi hivyo.
   
 16. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #16
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45

  Tatizo letu sisi wabongo ni kutka kushusha material tunayopata/tuliyowahi kupata darasani/vyuoni kuhusu mambo fulani.

  Wengi wetu hatutumii material hayo katika vitendo.Wewe umeambia kitu ,unashindwaje kujaribu,jaribu,shindwa,uliza,jibiwa ,jaribu tena,shinda ,kataa majibu ya mtoa hoja.Ndivyo tunavyotakiwa kuishi.

  Ipo siku unaweza kuambia hata hyo unayedhani mama/baba yako siyo lakini kwa kuwa umezaliwa unajua hivyo utabishaaaaa weeee hadi kurusha ngumi.

  Point:Wewe kama una dish lako tembelea hiyo link,tafuta channel unayoitaka,ukijua inarushwa kutoka nchi gani,ingiza s.rate zake ,freq zake nk,Ukishindwa rudi hapa JF uliza ulipokwama,kisha tusonge mbele.

  "Si kila kitu kinashindikana hapa duniani na sila kitu kinawezekana hapa duniani" Tumia ujumbe huu kuendesha maisha yako.
  Byabato
   
 17. Nding'oli

  Nding'oli Member

  #17
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu mimi nina decoder ya My TV, nimejaribu kuingiza ninazotaka nimechemka. naona mauzauza tu. Sioni pa kuingiza ile setellite no. na zile eg 64.7 E nk. tafadhali nisaidie hatua zake.
   
 18. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hiyo 64.7 E ni alignemnet ya Dish likae kwenye mkao amabo linaweza kupokea siganl vizuri kutoka satelite fulani eg satelite ya [​IMG] Intelsat 906 iko yuzi 64.2 E na satelite ya Eutelsat W7 iko nyuzi 36.0 E

  kwa jiografia nyepesi unasema dish lazima lielekee nyuzi 64.7 East.

  Mfano navyoolewa mimi na niliwai jaribu kwa wale wenye ma decoder ya ya DSTV au multichoice ina maana dish zao zimeelekezwa kwenye satelite ya Eutelsat W7 ambyo iko 36.0. Sasa kama dish limeelekzwa huku utapataje Star TV na ITV ambazo zinarushwa na stelite ya Intelsat 906 iliyo nyuzi 64.2????? Jibu sio rahiia labda urekebishe alignment ya dish . Ndio maana kuna mdau kasemayeye dish lake linazunguka. kwa huyo inaweza kuwa rahisi kidogo

  na hii utaona matangazo ya ITV na stav tV kwa kuwa ni freee channel kama sio freee unahitaji code. scrambling code.
   
 19. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa tunaelimishana na tunaweza kuelimishanana hata kwa kubishana

  Ebu nielekeze nipate hiyo supper sport 9 kama uliyopata wewe . natumia decoder ya DSTV
   
 20. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #20
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45

  Ebu tembelea hapa mpaka pale penye hiyo channel
   
Loading...