Msaada: Laptop gani ni nzuri na ya kisasa?

Msaada: Laptop gani ni nzuri na ya kisasa?

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Wanajamii!!

Ninaomba kwa anayejua anisaidie, ninataka kununua laptop nzuri na mpya kabisa. Bahati mbaya mimi si mtaalamu kabisa wa kompyuta (laptop) ingawa ninajua kutumia kifaa hicho.

Ninaomba mnifahamishe ,ninunue laptop ipi na ni bei gani? Na kama mawasiliano yapo ya wauzaji, ninaomba yawekwe hapa.

Natanguliza Shukrani
 
kikaniki

Ungesema bajeti yako ni tsh ngapi?

Maana laptop zipo za kuanzia Тsh 450'000 hadi 2,500,000 na zaidi ya hapo.

Pia gusia matumizi ya hiyo laptop ni yapi. Mfano: Gaming, video editing au kusomea email na youtube videos.

Karibu
 
Last edited by a moderator:

Taja bajeti yako na matumizi tarajiwa ya hiyo laptop.
 
kikaniki

Ungesema bajeti yako ni tsh ngapi?

Maana laptop zipo za kuanzia Тsh 450'000 hadi 2,500,000 na zaidi ya hapo.

Pia gusia matumizi ya hiyo laptop ni yapi. Mfano: Gaming, video editing au kusomea email na youtube videos.

Karibu

Mi nina Tsh kuanzia 700,000 hadi 1,000,000
 
mimi ninazo mashine za gaming. .ni mpya na zingine used for less than one month. nichek 0656627662
Weka specs za laptop kali zaidi ulizonazo sababu nataka kununua laptop yenye specs kubwa zaidi ya niliyonayo, iwe ni mpya. Specs ya laptop niliyonayo ni i5, 64bits, 2.6GHz inaboost mpaka 3.2GHz, hard disk ni 1TB, Ram ni 8GB na ni 15.6" Touch Screen
 
Matumizi yanabadilika

Na duniani hakuna laptop inayokidhi matumizi yote,

Mfano gpu ndogo kabisa low end ya quadro inapita gpu kubwa ya gtx linapokuja suala la 3d modelling. Na vice versa ni hivyo hivyo gpu ndogo ya gtx itaishinda gpu kubwa ya quadro kwenye gaming.

Kila laptop inatengenezwa kwa ajili ya kundi fulani katika jamii. Nina rafiki yangu ana laptop ya i7 quad na nvidia gtx 860m ram 16gb na 1tb hdd na cache ya ssd, ameinunua almost dola 1500 na software anayotumia ni AutoCad ila hapati perfomance kubwa sana sababu alichofkiria yeye ni kutafuta tu laptop yenye specs kubwa ndio itasolve kila kitu.
 
Siku hizi kuna " chromes" zina run os ya chrome sema bei sijui ni sh. Ngp
 
mi monyewe sio mtaalamu wa laptop jamani, je naweza kupata HP Notebook kwa laki nane, hiyo ndo bajeti yangu wakuu
 
Hayo mambo hata siyajui, ila naitaji tuu kwa matumizi ya kawaida ya kishuleshule kama kusave tuu documents, ila mi nnimpenda movies za kuwatch online
 
Hayo mambo hata siyajui, ila naitaji tuu kwa matumizi ya kawaida ya kishuleshule kama kusave tuu documents, ila mi nnimpenda movies za kuwatch online

njoo uchukue mi nnazo zipo kweny excellent condition .
 
Back
Top Bottom