Msaada wa kuanzisha biashara

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
577
250
Waungwana nadhani muko wazima

Naombeni munisaidie nataka kuandika Business Plan ila itakua ni non Profit lengo langu ni kutoa elimu juuu ya H.I.V and AIDS na Kuelimisha vijana wadogo kushuhulikia masomo kwa kutokujiingiza katika mapenzi yatakayopelekea hio HIV ila pia najikite katika Analy sex Huku kwetu kunaonekana kuzuka pimbi kubwa la kujishuhulisha na matumizi ya 0713 hasa huwarubuni watoto wadogo chini ya mika 15 tena wa kiume kwa hio sio mda watashamirisha mapenzi ya jinsia 1 sasa mimi nataka nitowe hio elimu mashuleni vyuoni na makani
Ishaaalah

Nipeni muongozo namna mzuri itakayvyopelekea kupata mfadhili ama mfadhili kwa mradi kama huo namtoa wapi nikishakuikamilisha?

Natanguliza shukrani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom