Msaada Jinsi ya kutumia laini ya simu kwenye laptop

ffrrank

Member
Nov 8, 2015
27
14
Habari za majukumu wana Jf ,nina laptop ambayo ina sehemu ya kuweka lain ya simu nimejaribu kuweka lakin sijaona iki fanya kazi. Naomba kujua kama inaweza kufanya kazi.
 
Kwanza unatakiwa uhakikishe driver za hiyo built in sim card reader /modem zimekuwa insatlled himo kwa pc yako na pia kuwe na software itakayo ruhusu kuisoma line hiyi so ingia webpage ya manufactura wa hiyo pc yako utapata drivers pamoja na software yake bila drivbers na software huwezi soma hiyo line humo
 
Nashukuru mkuu kwa maelekezo.
 
Back
Top Bottom