Je kuna uwezekano wa kupdate amd processors

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
488
184
Wakuu wa humu naomba kuuliza
Kwamba juzi nilidownload application inaitwa booster katika pc yangukatika kuifungua ikaonesha kuwa AMD processor is out to date need for update je kuna uwezekano hizi processor kuwa updated via internet
 
processor unai upgrade kwa kuitoa na kuipachika nyengine.

processor nyingi za amd ni apu maybe walimaanisha ulitakiwa uweke driver za hio apu.

pia app za namna hio pia ni za kishenzi tu usiziamini wala usizikubalie kudownload vitu kama unataka software ya AMD nenda website ya AMD na si vinginevyo.

nenda my computer halafu right click then properties then kariri hilo jina la cpu yako halafu lipaste google huku likifuatiwa na neno drivers kwa mbele

mfano amd e-350 drivers

utapata drivers mpya kama zipo.
 
Shukrani kiongozi
 
Wakuu wa humu naomba kuuliza
Kwamba juzi nilidownload application inaitwa booster katika pc yangukatika kuifungua ikaonesha kuwa AMD processor is out to date need for update je kuna uwezekano hizi processor kuwa updated via internet
hapo alimaanisha ku-update driver(software) sio ku-upgrade processor(hardware).. Sehemu sahihi ya kupata driver husika nenda kwenye offical website ya AMD au offical website ya computer yako i.e hp 620 hapo utapata driver sahihi, kuna sehemu ya ku-search andika model ya pc yako hapa..hapo kutakua na driver mbalimbali na za pc tofauti..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom