Naomba muanze kulinda website yenu. Nimewaonesha milango kadhaa ambayo mtu anaweza itumia kuingia , inatumia teknolojia ya zamani sana hiyo version ya joomla ni ya muda sana fanyeni ku upgrade...
ICT na Teknolojia nchini Marekani imeajiri watu wengi sana na inawalipa vizuri mno kuliko sekta nyingine, hebu cheki hii Makala hapa Tehama! Jawabu lililosahaulika katika swali la ukosefu wa...
Published: 14 October 2016 ID: G00317560
Analyst(s): David W. Cearley | Mike J. Walker | Brian Burke
Order Reprints
You may request paper or digital reprints on the ensuing order form.
Summary...
Naomba msaada wa ku update GBwhatsapp nashindwa maan mda wote inaniletea Mesej upgrade Lakin nikibonyeza kuruhusu ku apgrade nashindwa naambiwa ni download kwa kutumie cloud download Niki click...
Habari za mihangaiko ya maisha wanajamii,, naombeni msaada wa application ambayo naweza nikafanikiwa kuroot tecno y2,, maana nimejaribu kingroot latest version,, kingroot,, kingroot v4.1.0...
naomba msaada wana jf. nimenunua laptop na ina bluetooth lakini cha kunishangaza ni kwamba haifanyi kazi yaan nikiitafuta kwakutumia simu yangu, bluetooth ya laptop haionekani. je, nifanyeje ili...
Habari wadau naomba msaada picha zangu nikipiga kwa simu kuzielekeza ziwe saved kwa memory card zinatoa hyo rangi kwa picha, lkn nikisave kwa phone memory zinakaa sawa tatizo ninini??? Msaada please
Nauliza mwenye uelewa jamani, nimesikia kuna uwezekano wa kuunganisha screen ya computer na king'amuzi nikaangalia TV kama kuna muelewa naomba anijuze cha kufanya, natanguliza shukrani.
nna tecno H5 ninapo mpigia mtu ina sachi ussd code running....lakini sim inaita na tunasikilizana ili baada ya maaongezi sim yaikatiki sababu bado ina sachi ussd code
msaada kwa anaejua tafadhali
Nahitaji simu yenye kuanzia 16 gb na yenye camera nzuri yani high quality ya ukweli. Iwe laini mbili lakini sio tecno.
Naombeni mnishauri aina gani ndo itanifaa kutokana na specs zangu hapo. Pia...
Kama kichwa kinavosadifu,naitaji kujua kati ya Techo Boom 5 na Tecno C5 ipi ni nzuri zaidi?
NB: Kama zina ubora sawa toa vigezo,pia kama hauzijui vizuri usichangie chochote.
Habari wanajamvi
Tujikumbushe na mnijuze hivi ule ushabiki wa blackberry uliishia wapi,maana ilikuwa kila kona ni kubadilishana BBM namba,kweli ivumayo haidumu,what happen to blackberry phones...
wanabodi habri za wakati! Nomba mwenye uelewa na programs ambazo zinarekodi videos katika Desktop nimejaribu kutafuta GOOGLE nimepata moja inaitwa KAZAMA shida ya hii ni kwamba inarekodi ila sauti...
Ninajifunza kutengeneza android app natumiaandroid studio kuna app mojanimekamilisha ila nashindhwa jinsi ya kuifanya ije iwe inmstalled kwenye device za kawaida za android mwenye uelewa tafadhali...