issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
Naombeni msaada,laptop YANGU imegoma kuwaka kawaida hadi uchomeke adopter,tatizo ni nini?tatizo Lina siku ya tatu na ilikua haisumbua hapo mwanzo
wewe jamaa ni hatari kwa usalama wa nchiKioo kimekufa
Ilikua inakaa had zaid ya masaa 2 na sijabadil adopter n ghafla tu limeanza hilo tatzoissa mweusi
Kabla ilikuwa inakaa muda gani baada ya kuchomoa adapter? Haujabalisha adapter karibuni?
Hard disk imekufa cha msing badil hard disk itapiga kazMi yakwangu imezima ghafla tu,haiwaki kabisaa,ilianza kupiga kelele kama gari inarudi Rivasi huku ikiwaka taa na kuzima,mpaka leo kimyaa..sijui tatizo nini.Nisaidieni
Processor hiyoMi yakwangu imezima ghafla tu,haiwaki kabisaa,ilianza kupiga kelele kama gari inarudi Rivasi huku ikiwaka taa na kuzima,mpaka leo kimyaa..sijui tatizo nini.Nisaidieni