Msaada wa memory chip ya FE 087 HI-FI

Msaada wa memory chip ya FE 087 HI-FI

lemone grass

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
289
Reaction score
336
Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki!!!
wadau wa electronics, nina hi-fi model 087 memory ic imekufa kabisa, T/24C02A. kwa mazingira niliyopo nimepata 24C02, kama ntatumia hiyo kama mbadala itafanya kazi kama kawaida? au nitafute original chip?

shukrani...
 
Back
Top Bottom