Wakuu naomba msaada wa hii elimu.. Madish ya internet yakoje na yanaelekea upande gan au yanasetiwa vp ili yatumike na modem?
alphonce.NET Je Kuna Internet za bure kama ilivyo Channel za bure (FTA-Dishes)
Huwa nachanganyikiwaga sana kuhusu hili.
ahsante!
I have a XMASTER3(Q20131006838) Decoder dat allowz the use of a modem via 3g/Gprs network/LAN. Tatzo n kwamba mtandao uko chn alafu napata channelz chache kama 7tu...KUNA namna ya kuziongeza na kwa gharama ndogo?
Kwenye VSAT Internet services hakuna free service
Na hii ya ZUKU kugawa Broadband internet kupitia dish zao huko Kenya inakaa je?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Swali lako liko juu juu sana.
Kuelekea upande gani inategemea mtoa huduma (ISP) anatumia satellite gani.
Yanasetiwa vipi, satellite connection una point antenna kwenye satellite husika, halafu mtoa huduma (ISP) anakupa VSAT installation procedures, inaweza kuwa auto au manual parameters settings
[emoji13] B#Kama unakusudia kujua# kuhusu kupata Internet connection bure kupitia satellite dish fahamu hakuna kitu kama hicho, sababu satellite ISP wanatumia receivers MAC+IP+GPS COORDINATES ili kuruhusu mteja husika kupata huduma