Cm yangu ni Tecno Y6 nikiicharge ndani ya saa 1 inaisha charge alafu inachemka sana upande wa camera kwa nyuma ...yaan hata nikiiweka nisitumie charge inaisha tu...naomben msaada mwenye kujua
Software used - Adobe Photoshop CC 2014.
Idea, Reflection of face on the bullet with explosive materials inside the fence.
Artist --> Trumpanamo on DeviantArt
habari wadau, naulizia jinsi ya ku update software ya decoder ya azam.. asubuhi ya leo nliona wamepitisha hilo tangazo kwny azam 2 ila kuna details zikanipita. so kwa yoyote mwenye ufahamu na hilo...
Wapendwa, salama? nina Laptop (Toshiba portege r830), ina tundu la kuweka SIM card, nimeweka na inafanya kazi(ina unganisha mtandao na intaneti napata), shida moja ni kwamba, nikitaka kuweka...
Wadau naombeni msaada jamani bajeti yangu ni laki nne nataka kununua lumia 640xl mpya dukani je kwa pesa hiyo naweza pata. Kama siwezi pata je simu gani amabayo naweza pata kwa bei hiyo yenye...
Habari wakuu humu ndani
Hivi kalbuni nilifanya manunuzi ya domain kwenye kampuni ya pananames.com
Nikafanikiwa kufanya hiyo transaction kupitia paypal lakini sasa nilipotaka kupark hiyo domain...
Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea...
Kama unatafuta mafund bomba au vijana wa kuwaajiri usiteseke tupo watu wenye ujuzi kikamilifu na elimu sahihi yaani Full Technician Certificate (FTC)
Kwa mawasiliano zaidi tutafute kupitia
Email...
Tafadhari msaada wenu kwa anaye. jua jinsi ya kurudisha email iliyo futika katika trash coz wamesama inaishi ndani ya trash kwa muda wa siku 30 zen zinafutika automatically tafazari msaada wenu
Naomba kujua ni browser gan ya android inayoweza kubadili proxy na kuweka unayotaka wewe.
App kama mozila zimekataa kweny android lakn kweny windows iko option ya kubadili proxy
MANY USE THESE ABBREVIATIONS WITHOUT KNOWING THEIR MEANING
1.) *GOOGLE* - Global Organization Of Oriented Group Language Of Earth.
2.) *YAHOO* - Yet Another Hierarchical Officious Oracle.
3.)...
Naomba msaada wadau, nina chip yangu ya halotel sikuitumia kwa muda mrefu, jana nimeiweka nikaunga bando lakini nikiwasha Cellular data haisomi na haiwezi ku connect internet. Nimejaribu kwa...
Nimeambiwa kinaitwa sexual .... data ikiwa on inadownload vitu vya hovyo na vingi sana kila wakati, kuna mda mpaka inajizima na kujiwasha. Kwa jinsi ilivyo siwezi hata kumpa mtu kwa dakika moja...
Habari zenu wandugu, Nina simu yangu aina ya TECNO H6 nilii-upgrade kutoka kit kat mpaka lollipop 5.1.1 tatizo lililopo hii OS haisomi laini yyote mwenye maujanja aokoe hili jahazi!
Ya kwanza ni picha iliyochorwa kwa mkono kwenye karatasi, hii ni njia nzuri kwa wale wasiokuwa na drawing pad.
Na ya pili ni final out iliyofanyiwa full editing kwenye Photoshop
Nakaribisha...
Habari zenu wakuu,naomba ufafanuzi kuhusu mahusiano ya data usage statistic na speed ya internet maana mara nyingi simu yangu inaniletea "data usage warning" sasa sijui ina madhara gani mpaka...
wakuu nikienda OS kuna folder la window sasa naona laptop yangu haina kabisa space yani apo os ni GB 29 huku window folder likila 20Gb unaona nabakiwa na GB 9 tu sioni local C au D PC yenyewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.