Msaada tutani

baba glory

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
294
250
Habarini wana jamvi,
Juzi kati nimenunua tv ya samsung flat screen,ni ya mtumba ila katika ku-google nikapata kujua kuwa ina tuner 3 yaani DVB-S,T na S, nikajaribu ku-search chaneli ikanigomea maana ile sehemu ya search ilikuwa faint nikaingia tena mtandaoni kusaka madini wakasema iko katika hotel mode inabidi nifanye factory reset,nikahangaika mwiahowe nikafanikiwa so nikaipangilia vizuri na sasa naweza ku-search channel kutokea DVB-T,imenasa 67 channels ila zinazoonyesha ni 2 tv-e na channel 10 nyingine zinasema signal scrambled ama service not available, nimebadili uelekeo wa antena ila hapana kitu na kuna uelekeo nikiweka hata channel ya tv-e inakuwa scrambled. Sasa naombeni minsaidie je nifanyeje walau zile channel zinazoandika service not avaiable niweze kuziona? Maana nitakuwa nimeondokana na adha ya kulipia king'amuzi, location yangu ni temeke dar es salaam. Asanteni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom