Wapi nitapata game ya euro truck simulator 2?

Wapi nitapata game ya euro truck simulator 2?

djesco

Senior Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
166
Reaction score
52
Habari wanajamvi,
Naipenda sana game ya EUROTRUCK SIMULATOR 2 ila hizi za ku-download naona antivirus yangu inakamata trojans ndani yake nataka kununua genuine,ni wapi nitapata!? Asanteni
 
mkuu nmepakua hili game ila kila nikijaribu kuinstall nashindwa shida itakuwa nini?
Kwa bahati mbaya aliyekushauri aliyekuandikia Link hajazingatia haya angalia system Requirements hilo linahitaji

OS Window 7, 8.1, Vista na XP
RAM 2GB
Processor dual Core 2.4 GHz
Space 2GB
 
Kwa bahati mbaya aliyekushauri aliyekuandikia Link hajazingatia haya angalia system Requirements hilo linahitaji

OS Window 7, 8.1, Vista na XP
RAM 2GB
Processor dual Core 2.4 GHz
Space 2GB
Kama huna 2gb fungua youtube uangalie tu hata ukia na 128 mb utaliona tuu ila huta cheza
 
inasemaje mkuu bila kuniambia unachokiona itakuwa ngumu kujua tatizo lilipo
1483278754466.jpg
1483278762304.jpg
1483278767664.jpg

Mkuu picha ya kwanza ndio nikifungua ilo folder inaandika bin na mafaili mengine nikifungua ilo la bin nakutana na win_64 na win_x86 ukifungua hayo mafaili setup ila bado nikijaribi kuirun hyo setup haifanyi installation
 
Kwa bahati mbaya aliyekushauri aliyekuandikia Link hajazingatia haya angalia system Requirements hilo linahitaji

OS Window 7, 8.1, Vista na XP
RAM 2GB
Processor dual Core 2.4 GHz
Space 2GB
Mashine nnayotumia inatumia ni windows 10, ram 4gb na ni 64bits
 
Mashine nnayotumia inatumia ni windows 10, ram 4gb na ni 64bits
mkuu umeona hio pic ya kwanza? shuka chini utaiona setup

hio picha ya nne ni crack ukisha install vicopy hivyo halafu kavipaste folder la game
 
mkuu umeona hio pic ya kwanza? shuka chini utaiona setup

hio picha ya nne ni crack ukisha install vicopy hivyo halafu kavipaste folder la game
Mkuu hakuna setup, afu picha ya nne ipi? maana mm nimepost tatu tu
 
mkuu umeona hio pic ya kwanza? shuka chini utaiona setup

hio picha ya nne ni crack ukisha install vicopy hivyo halafu kavipaste folder la game
Au mkuu naomba unipatie link nyengine nidownload upya maana rengo kuna ambalo ninalo sasa nililifuta lile sababu siwezi kuadd mods
 
Back
Top Bottom