Pazmanian
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 984
- 1,348
kwema wadau? nina simu aina ya samsung galaxy s3-GT I9300 ina tatizo la kutoshika 3g, inaishia kushika edge tu. Nimejaribu kufanya setting ya apn bila mafanikio na pia nikiwa natumia mpesa au tigopesa inapofika sehemu ya kuingiza password inasema namba ya siri si sahihi. Simu hii imenunuliwa china.
msaada kwenu wadau.
msaada kwenu wadau.