shortcut kwenye pc

Capslock

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,089
4,810
habari wana jukwaa......

wanajukwaa, kuna laptop yangu kila nikiweka flash inacreate shortcurt ........yaani mafaili ya kwenye flash yanakuwa hayasomi tena.

kwa mwenye ufahamu na hili tatizo naomba anisaidie
 
kwa msaada WA haraka kupata data zilizo kwa flash fanya kubeba flash then Tia kwa vlc player then utaingia sehemu ya kuliche foda linalosoma in vlc kuwa liko wap nadhan uta vikuta vitu vyako vyote
 
asante sana mkuu.....ubarikiwe kwa msaada wako
 
Wakuu na kama flash iko protected,kuna namna gani ya kufanya ili irudi kwenye hali yake ya kawaida?
Naomba kuwasilisha
 
Nilizokuwa na uzoefu nazo, flash zinakuwa na kama switch flani pembeni jaribu kuiturn off hiyo. Naamini utaiunlock na kama ikigoma ujue flash ina matatizo... Nilishawahi kuwa na flash moja ya hivyo ambayo ilikuwa imefungwa na haina physical switch, nilitymia software kufuta partition kabisa nikatengeneza mpya.

Tafuta that physical button kwanza alafu utupe feedback kama umefanikiwa.

-callmeGhost
 
Sawa mkuu ntafanya hivyo na jioni nitaleta mrejesho,kwa sasa sipo karibu nayo
 
tumia hiyo hapo
 
Attachments

  • Smadav Pro 10.9 2016 + Key [4realtorrentz].zip
    1.3 MB · Views: 26
  • Info.txt
    3 KB · Views: 258
Back
Top Bottom