Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,409
- 14,970
Hii device inatumia betri ambayo ni 2100mah. Kuna uwezekano wa kupata betri yenye ukubwa wa 3100mah na kuitumua kwenye s3?
Nimekusoma mkuu. ahsante. Hilo kava na berti naweza kupata?ndio unaweza, ila inabidi ije na cover lake la nyuma
unapewa na battery yake unaponunuaNimekusoma mkuu. ahsante. Hilo kava na berti naweza kupata?