Facebook Ads inasumbua.Tatizo nn?

apakak

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
898
656
Wakuu, facebook ads yangu nilikuwa naitumia vizuri tu

Ila tangu leo, kila niki promote page ad inakuwa disapproved .

Tatitizo ni nini?
 
Kaka huwa unapromote page au post? Naomba unielekeze mkuu namna ya kufanya malipo.

Malipo yapo ya aina tatu.Amabyo ni
  • Credit/Debit Card
  • Paypal account
  • Facebook Coupon(adimu sana hizi)

Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye Ads Manager yako, nenda billing information na u add payment method kati ya hizo
 
Wakuu, facebook ads yangu nilikuwa naitumia vizuri tu

Ila tangu leo, kila niki promote page ad inakuwa disapproved .

Tatitizo ni nini?
Umelipia ads yako, facebook hawazingua hata kidogo mimi mwenye ni mdau wa kutumia facebook ads
 
Umelipia ads yako, facebook hawazingua hata kidogo mimi mwenye ni mdau wa kutumia facebook ads

Yes nalipa vizuri tu.Payment verification haina tatizo.Tatizo linakuja kwenye Ad set.Inakuwa disapproved bila reason yeyote
 
Back
Top Bottom