Nimekuwa mfuatiliaji wa habari hasa kwenye Tv hii imenifanya niwe mtazamaji wa Tv za hapa nchini na nje ya nchi.
Nimegundua kuwa Tv zetu hapa nchini ziko nyuma sana hasa kwenye quality za picha, quality za sauti, studio haziko katika kiwango cha kuridhisha, Uchukuwaji wa matukio ya live ndo kabisa quality za picha haziridhishi kabisa. Utengenezaji wa matangazo kwa picha hali ni mbaya. Nini tatizo? na unashauri nini ili kuboresha tv zetu?