kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Tatizo la gafla nikitaka kuwasha i pc inatoa tu mwanga Iconi ya switch on ila kuwaka pc yote haiwaki Tatizo ni nini? Betri nimeichaj imejaa lakini ishu kuwasha ndo haitaki naomba msaada nifanyaje ili niweze kuwasha? Asanteni