Nisaidieni mwenzenu

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,224
1,249
habari za mwaka mpya wanajamii forum
Nilikuwa naomba msaada kuhusu hili.Kompyuta yangu HP compaq nx7300 inaganda au freeze na cursour yake haimove mpaka uizime ina maana ikiganda hakuna kinachoweza kufanyika mpaka izimwe,inasababishwa na nini jamani?kama kuna solutioni ya hili naomba kupewa
natanguliza shukrani
 
Mkuu hii laptop inaonekana ni ya zamani kidogo hivyo basi angalia uwezo wa RAM zake kulinganisha na kazi unayoifanyisha kama RAM ni ndogo basi Ndiyo sababu
Pili angalia ANTIVIRUS software yako kama ipo updated alafu perform full scan kuangalia kama ni virus (Nakushauri utumie Kaspersky Antivirus)
Kama yote hapo juu yakishindikana basi fanya fresh installation ya Windows upya na ikigoma basi itakua imefikia muda wa kuaga.
 
Back
Top Bottom