Android browser inayokubali kuchange proxy

zeromagic

Senior Member
Sep 14, 2016
186
67
Naomba kujua ni browser gan ya android inayoweza kubadili proxy na kuweka unayotaka wewe.
App kama mozila zimekataa kweny android lakn kweny windows iko option ya kubadili proxy
 
Jaribu kutumia Orbot in conjunction with Orfox browser. Orbot inakupa uwezo wa ku'bounce your IP address around the globe (ni TOR app) na uwezo wa kutumia VPN via working through your device native VPN capability.

There's one catch though, utakapokuwa una'browse kupitia browser zako kila mara zitakuambia "we detected unusual traffic in your browser, prove that yo not a robot (na hapa utatakiwa kuandika CAPTCHA au ku'identify picha). Hii unaweza ukai'solve kwa ku'activate "bridges" kwenye Orbot.

Sijui kama ntakuwa nimekuelewa hitaji lako vizuri au nimekuelewa wrong kwa kudhani unatafuta sort of "complete privacy" kwenye browsing activities zako kwa mobile?!

1480538878727.png
ukiangalia vizuri unaweza ona exit IP address zinavyosoma Swiss, Romania, etc. kwa hapo. Hii inafanya ngumu kwa yo real IP address kuwa ID'ed na traced.

1480538987163.png
unaweza kuchagua unataka ku'bounce yo exit address popote duniani.

1480539034786.png
Hii ndo UI ya Orbot app yenyewe.
 
Jaribu kutumia Orbot in conjunction with Orfox browser. Orbot inakupa uwezo wa ku'bounce your IP address around the globe (ni TOR app) na uwezo wa kutumia VPN via working through your device native VPN capability.

There's one catch though, utakapokuwa una'browse kupitia browser zako kila mara zitakuambia "we detected unusual traffic in your browser, prove that yo not a robot (na hapa utatakiwa kuandika CAPTCHA au ku'identify picha). Hii unaweza ukai'solve kwa ku'activate "bridges" kwenye Orbot.

Sijui kama ntakuwa nimekuelewa hitaji lako vizuri au nimekuelewa wrong kwa kudhani unatafuta sort of "complete privacy" kwenye browsing activities zako kwa mobile?!

View attachment 441531 ukiangalia vizuri unaweza ona exit IP address zinavyosoma Swiss, Romania, etc. kwa hapo. Hii inafanya ngumu kwa yo real IP address kuwa ID'ed na traced.

View attachment 441532 unaweza kuchagua unataka ku'bounce yo exit address popote duniani.

View attachment 441533 Hii ndo UI ya Orbot app yenyewe.
Asante mkuu
Hii orbit unaweza kuweka upstreaming proxy iwe inakubali kutumia proxy server yako na si system proxy ambayo hua mara nyingi ni 127.0.0.1
 
Sijawahi jaribu hilo, emb ngoja niulize ulize na mimi ndugu angu.
 
Jaribu kutumia Orbot in conjunction with Orfox browser. Orbot inakupa uwezo wa ku'bounce your IP address around the globe (ni TOR app) na uwezo wa kutumia VPN via working through your device native VPN capability.

There's one catch though, utakapokuwa una'browse kupitia browser zako kila mara zitakuambia "we detected unusual traffic in your browser, prove that yo not a robot (na hapa utatakiwa kuandika CAPTCHA au ku'identify picha). Hii unaweza ukai'solve kwa ku'activate "bridges" kwenye Orbot.

Sijui kama ntakuwa nimekuelewa hitaji lako vizuri au nimekuelewa wrong kwa kudhani unatafuta sort of "complete privacy" kwenye browsing activities zako kwa mobile?!

View attachment 441531 ukiangalia vizuri unaweza ona exit IP address zinavyosoma Swiss, Romania, etc. kwa hapo. Hii inafanya ngumu kwa yo real IP address kuwa ID'ed na traced.

View attachment 441532 unaweza kuchagua unataka ku'bounce yo exit address popote duniani.

View attachment 441533 Hii ndo UI ya Orbot app yenyewe.
Mkuu msaada
Nmeshindwa kuiconfigure hii kitu
 
unaweza kutumia proxy kwa kupitia setting zako za internet (APN) lakini haitaathiri browser tu bali app zote.

pia zipo app mbalimbali ila itategemea na aina ya matumizi na aina ya proxy unayotaka kutumia
 
Pia leo nimekutana na hii ProxyDroid ingawa bado sijaitest inaelekea ina features nzuri kwa mahitaji ya "proxying"
 
Naomba
unaweza kutumia proxy kwa kupitia setting zako za internet (APN) lakini haitaathiri browser tu bali app zote.

pia zipo app mbalimbali ila itategemea na aina ya matumizi na aina ya proxy unayotaka kutumia

Naomba msaada huo nawezaje pata hizo proxy code ili ni set pale kwenye APN yangu mfano ya tigo au halotek ahsanteh
 
unaweza kutumia proxy kwa kupitia setting zako za internet (APN) lakini haitaathiri browser tu bali app zote.

pia zipo app mbalimbali ila itategemea na aina ya matumizi na aina ya proxy unayotaka kutumia
Hzo settings nmebadili
Tatzo proxy hazikubali baadhi ya site
Nilikua nataka ku unblock site.
Soln niliyoipata ni kutumia website kama videoproxy.com inayoblock proxy online. Sasa hii siwez kutumia wasap..
Nisaidie njia nyingine kama ipo mkuu
 
kuna vitu hivi inabidi uvielewe
-kuna transparent na anonymous proxy, ukitumia proxy transparent haita unblock kitu mpaka iwe anonymous
-kuna app zina ignore proxy ukieka haziathiriki mfano hio whatsapp

ushauri wangu komaa na orbot, nimeshaitumia mimi itafanya kazi hio bila wasiwasi, inafanya zaidi vizuri ukiwa na root, pia vpn inaweza saidia.
 
Back
Top Bottom