USSD/MMI code kwenye SIM card iiliyoko kwenye "built in modem" ya laptop

USSD/MMI code kwenye SIM card iiliyoko kwenye "built in modem" ya laptop

Vanpopeye

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
624
Reaction score
62
Capture.PNG
Wapendwa, salama? nina Laptop (Toshiba portege r830), ina tundu la kuweka SIM card, nimeweka na inafanya kazi(ina unganisha mtandao na intaneti napata), shida moja ni kwamba, nikitaka kuweka vocha, kuunga bando ni lazima niitoe hiyo line niitie kwenye simu nifanye kutia vocha na kuunga bando kisha niirudishe tena kwa PC, NAHITAJI KAMA KUNA SOFTWARE/APP YOYOTE AMBAYO ITAKUWA KAMA MOBILE BROADBAND MANAGER NIKAWEZA KUTUMIA KU RUN HIZI USSD/MMI codes kwa ajili ya kuweka salio au kuunga bando bila kuitoa kwenye PC, OS: Windows 10.
Asanteni.
 
na ile 3g je?

pia jaribu na software za modem nyengine hukubali kudetect built in modem.
hili la modem nyingine sasa laweza kuwa neno!!!...ila ndio sijajua nijaribu ipi, ngoja nianze kuinstall na ku uninstall mpaka niipate itakayodetect!!!!!!!!

nianze na hii ya 3g
 
hili la modem nyingine sasa laweza kuwa neno!!!...ila ndio sijajua nijaribu ipi, ngoja nianze kuinstall na ku uninstall mpaka niipate itakayodetect!!!!!!!!

nianze na hii ya 3g
mkuu dashboard zipo mbili kubwa mobile patner ya huawei na ile ya zte, pia zipo nyengine kama alcatel etc
 
mkuu dashboard zipo mbili kubwa mobile patner ya huawei na ile ya zte, pia zipo nyengine kama alcatel etc
sawa mkuu, ngoja niangalie, na ulishawahi jaribu yoyote ikasoma internal modem?
 
unatumia mtandao gani huo usiokuwa na option ya kurecharge online through website
 
Back
Top Bottom