Poa mkuu shukran nimekupatawenzetu mobile data ni ghali sana, wanatumia mara nyingi wifi za broadband za majumbani, ndio maana hizi operating system unapewa warning ukitumia sana mobile data.
hio warning inakukumbusha tu haina madhara na sidhani kama inapunguza speed ya mtandao.