Je nikifuta window Folder?

Je nikifuta window Folder?

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
252
Reaction score
423
wakuu nikienda OS kuna folder la window sasa naona laptop yangu haina kabisa space yani apo os ni GB 29 huku window folder likila 20Gb unaona nabakiwa na GB 9 tu sioni local C au D PC yenyewe ni mini kama notebook Fulani ivi je nikifuta hili folder la windows 10 naweza vuruga mashine?
 
hizo G

Hizo GB20 ni kawaida kabisa kwa windows folder, na endapo utafuta hilo folder basi computer haitawaka. na hata ukifuta file moja ndani yake unaweza kusababisha matatizo makubwa.
upload_2016-12-9_20-26-33.png
 
asante mkuu, inshu ingine naweza kupa IP configuration setup ambayo itanisaidia kuconnect kamera ya kila aina IP?
 
Back
Top Bottom