Mwenzenu yalonikuta kwenye simu yangu.

Mwenzenu yalonikuta kwenye simu yangu.

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
1,074
Reaction score
613
Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea vimaneno kuwa can not generate thumbnails. Ntaweka hapo chini sample yake maana imefika hatua napata hasara tuu. Ila nikichange storage ziwe kwenye phone zinakuwa poa ila kwenye memory card zinapata hilo tatizo. Je nn chanzo na je nifanyaje, maana nilijaribu hata ku format lkn wapi... Naomba msaada natumia Tecno C 8
671f0abbb977d693459e6ceb24743058.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom