Halotel Chip haisomi internet

Halotel Chip haisomi internet

Munamuge

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
907
Reaction score
903
Naomba msaada wadau, nina chip yangu ya halotel sikuitumia kwa muda mrefu, jana nimeiweka nikaunga bando lakini nikiwasha Cellular data haisomi na haiwezi ku connect internet. Nimejaribu kwa moderm pia mtandao unasoma lakini siwezi kuconnect.
Niliwapigia huduma kwa wateja lakini majibu yao hayajanisaidia.
Thanks in advance.
 
Naomba msaada wadau, nina chip yangu ya halotel sikuitumia kwa muda mrefu, jana nimeiweka nikaunga bando lakini nikiwasha Cellular data haisomi na haiwezi ku connect internet. Nimejaribu kwa moderm pia mtandao unasoma lakini siwezi kuconnect.
Niliwapigia huduma kwa wateja lakini majibu yao hayajanisaidia.
Thanks in advance.
'Ilo tatizo na Mimi ninalo na kila APN nazppata hazfany kazi hata ukiwapigia sim APN wanazokupa hazfany kaz APN za kwenye mtandao wao hazfany kaz na hata zile zinazokuja ukiweka line kwenye sim hazfany kazi yaan nafkiria kutupa line maana hainifai kwa kupiga sim nilinunua kwa ajili ya net tu....kwa ufup wamefel sinunui tena line zao bora niendelee kuteseka na internet slow ya tigo angalau inafanya kazi
 
upload_2016-12-9_14-1-22.png

UTANGULIZI
HALO MOVIE
ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki Mwanzo.


GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000; Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-12-10_11-57-51.png

Jiunge na HALO WIN Leo Ujishindie Zawadi Kemkem Msimu huu wa Sikukuu kama Iphone 7, Samsung Galaxy S7, Smartphone H8401, H8501 na Muda wa Maongezi !
-Kujiunga na Huduma ni Rahisi! Pata Siku Moja BURE kwa Kusajili Huduma kwa Mara ya Kwanza!


UTANGULIZI WA HUDUMA

Halo Win ni huduma mpya na yakuvutia kutoka halotel inayokupa nafasi nyingi za kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo za siku, wiki na Mwezi
Wateja wote wa Halotel wanaweza kujiunga na huduma hii, alafu wanatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti zao za simu badaa ya hapo watapokea namba ya bahati na kutakiwa kupiga namba ya huduma na uingiza namba hiyo ya bahati au kuituma kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye namba hiyo ya huduma.
Mfumo utachezesha droo na kuchagua washindi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO WIN

-Unaweza kujiunga na huduma kwa njia zifuatazo
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0004 ili kujiunga na huduma hii, alafu utatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti yako ya simu, baada ya hapo utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma ambayo ni 09 0122 004 na kuingiza namba ya bahati uliyotumiwa.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 004 kujiunga na huduma hii. alafu tuma namba yako ya bahati utakayopokea baada ya kujiunga au kuongeza salio kwenye akaunti yako kwenda kwenye namba 09 0122 004.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi Cha Siku: Tsh 50/Siku

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Back
Top Bottom