nickrill250
Member
- Feb 13, 2013
- 7
- 3
habari wadau, naulizia jinsi ya ku update software ya decoder ya azam.. asubuhi ya leo nliona wamepitisha hilo tangazo kwny azam 2 ila kuna details zikanipita. so kwa yoyote mwenye ufahamu na hilo atujuze.
kwa maelekezo waliotoa.. ipo update mpya ambayo haiji automatic ila unaidownload mwnyw kwa kuanza na kupress menu the 0,1,2 inakuletea menu ya software utaenda mpk kwny OTA. sasa zile details za ndani ndo kua ambazo nilimiss kurecord ila una update kwa style hyo.Mara nyingi kama kuna update. Itakuletea notice ndipo utakubali nakufanya update.
huwa % hazi'move inabaki hivyo hvyo so hapo kilichobaki ni ku'cansail tuView attachment 444980Toa hela nikuelekeze
hizo njaa sasaView attachment 444980Toa hela nikuelekeze