NATAKA LUMIA 640XL

NATAKA LUMIA 640XL

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Wadau naombeni msaada jamani bajeti yangu ni laki nne nataka kununua lumia 640xl mpya dukani je kwa pesa hiyo naweza pata. Kama siwezi pata je simu gani amabayo naweza pata kwa bei hiyo yenye huwezo mzuri kuringanisha na hii lumia msaada jamani
 
Atleast utapata lumia 550 ambayo inauzwa 350000 ikiwa mpya, hiyo laki nne unaweza kupata 640 lte second hand
 
Wadau naombeni msaada jamani bajeti yangu ni laki nne nataka kununua lumia 640xl mpya dukani je kwa pesa hiyo naweza pata. Kama siwezi pata je simu gani amabayo naweza pata kwa bei hiyo yenye huwezo mzuri kuringanisha na hii lumia msaada jamani
Nicheki kupitia 0783848802

Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
 
Wadau naombeni msaada jamani bajeti yangu ni laki nne nataka kununua lumia 640xl mpya dukani je kwa pesa hiyo naweza pata. Kama siwezi pata je simu gani amabayo naweza pata kwa bei hiyo yenye huwezo mzuri kuringanisha na hii lumia msaada jamani
Tafuta LUMIA 650 Dual SIM
 
Nimeiona gsm.arena wameandika ina 8 GB, 1GB RAM af camera 13 by 5 MP...mbona specs ndogo af pesa yko kubwa...au umeagizwa na mganga?
wala 1gb ram ya lumia huwezi kufananisha na ya techno ndio maana nikataka hiyo simu ndugu
 
Tofauti ya Microsoft Lumia 640xl LTE Na Microsoft Lumia 650
21w3yas.jpg

k4d4a9L.jpg

Ukiielewa Microsoft Lumia 640XL LTE
Run Windows 10 os
Mi ninayo nyeusi imesimama

nikupe Kwa 380000/- tu
 
sawa

Nicheck hapa 0713651733
nikupe Kwa 380000/- tu
sawa mkuu tutatafutana
 
Back
Top Bottom