Kutambua picha

Kutambua picha

mkulima maskini

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
254
Reaction score
50
Wanajamvi naomba msaada jinsi ya kutambua picha ilipigwa lini, wapi na muda gani....asanten wadau
 
Hapo mashine lazima itumike. Huwezi kung'amua hivihivi bila mashine. Cha kufanya anzia ku google kwenye mashine.
 
Kama picha ipo online unaweza kujua imewekwa lini. Ila kuhusu siku iliiyopigwa ni issue nyingine.
Ngoja watalaam waje
 
Back
Top Bottom