Kama nilivotanguliza kwenye head baada ya pitapita zangu katika forum mbalimbal hatimae nimefanikiwa kuupdate tecno c8 to android mashamallow a.k.a android 6 now naenjoy muonekano mpya kabisa ni...
Hivi hii huduma inaweza kufikia kikomo kwa sababu ya hizi smartphone, nauliza kama kuna mtu anajihusisha nazo anipe fununu hapa nifahamu na pia vinavyohitajika mbali na desktop computer zenyewe...
Kwema wana Jf
Naomba kufahamishwa Kama kuna apps au ni kwanjia gani taweza kujua mabadiliko ya fedha za kigeni bei za kuuzwa na kuuza kila siku katika simu yangu. Naomb mnifahamishe wandugu
Dah simu yangu imekuwa slow sana mpaka muda mwingine natamani kuivunja xoz ukifungua mafaili inaload mda mrefu sana
Muda mwingine mpaka uizime mwanga wa screen af uwashe ndo ifanye kazi japo...
1. Habari za humu jf. Nani anambie vizuri kabisa kuhusu maana ya android version na software na nn kazi zake ktk divice husika?
2.kitu gani kinapelekea simu kupata moto(kuchemka)wakati data...
Wadau napata hili tatizo kila nikiunganisha simu na Pc... Nimejaribu simu tofauti tofauti pia cable tofauti napata matokeo Yale yale...
Huu ni mfano Wa maandishi inayotoa
Salamu wana wa jamvi hili.
Aise naomba msaada jinsi ya kupata tena local channels kwenye decoder ya Mediacom. Nilikuwa nazipata vizuri ila Leo naona zote zinazingua.
Shukrani.
-Jodeo-
Wadau naomba msaada kwa wajuzi, nifanye ili niwe naangalia ligi ya uingereza kupitia simu ya mkononi. Nimejaribu kila njia sijafanikiwa, sasa wajuzi hebu nipeni elimu maana mie husafiri sana...
Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali...
Wakuu nina monitor ya nchi kama 14 hivi nataka niiconnect na deki au king'amuzi niangalie burudani kupitia hiyo monitor iwe sasa kama tv hivi
1) Je inawezekana?
2) Kama inawezekana niwe na kitu...
Kila nikiingiza tu flash yangu kwenye computer naandikiwa "you neeed to format the disk in drive F before use it. Do you want to format." nikikubali inaleta tena message " the disk is write...
habari ya boxing day wakuu?
Nimeleta uzi kwenu ili tujadili na kutoa mawazo yetu ambayo yatatusaidia kuondokana na unyonge uliopo katika sector ya IT.
Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu nani...
Kwanza angalia hii snap
Hapa ni combine speed ya Airtel, Voda na Tigo
Sasa Introduce you the revolutionary software "Connectify Dispatch" Hii kitu ndo inafanya hio magic na pia kwa kitu...
Wanabodi.
Naomba msaada jinsi ya kuunganisha kifurushi cha DSTV cha juu kuliko kile cha Mwanzo bila kupiga Huduma kwa wateja. Mfano, Mwanzo ulilipia kifurushi cha Compact Tsh 82,500 kikaisha muda...