Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau, Simu yangu Huawei Ascend Y300 leo asubuhi wakati naitumia ghafla application zake zikagoma kufanya kazi, nikadhani labda itakuwa ime-stack ikabidi ni - restart, wakati inawaka ilipofikia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau habari ya asubuhi. Katika huduma za kifedha zitolewazo na airtel kupitia airtel money kuna huduma ya utoaji pesa kutoka akaunti ya airtel money kwenda ATM MASHINES za benki mbali mbali ila...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Utatofautishaje samsung galaxy s5 origional na clone?
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Tatizo la gafla nikitaka kuwasha i pc inatoa tu mwanga Iconi ya switch on ila kuwaka pc yote haiwaki Tatizo ni nini? Betri nimeichaj imejaa lakini ishu kuwasha ndo haitaki naomba msaada nifanyaje...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, Naipenda sana game ya EUROTRUCK SIMULATOR 2 ila hizi za ku-download naona antivirus yangu inakamata trojans ndani yake nataka kununua genuine,ni wapi nitapata!? Asanteni
0 Reactions
15 Replies
6K Views
habari za mwaka mpya wanajamii forum Nilikuwa naomba msaada kuhusu hili.Kompyuta yangu HP compaq nx7300 inaganda au freeze na cursour yake haimove mpaka uizime ina maana ikiganda hakuna...
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Tesla Autopilot’s new radar technology predicts an accident caught on dashcam a second later
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Kwa anajua kusajiri domain na webhosting gharama zake na jinsi ya kusajiri anisaidie Nataka nisajiri hii www.onebigrocktz.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Hii device inatumia betri ambayo ni 2100mah. Kuna uwezekano wa kupata betri yenye ukubwa wa 3100mah na kuitumua kwenye s3?
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Wakuu naomba msaada wa hii elimu. Madish ya internet yakoje na yanaelekea upande gan au yanasetiwa vp ili yatumike na modem?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanaIT nimetengeneza video ya wordpress kama introduction kwa ambayo ni beginners ila nitaendelea kwa level zingine kwa wale beginners wasonge kwenye level ya intermediate. Pia ntatengeneza...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
kwema wadau? nina simu aina ya samsung galaxy s3-GT I9300 ina tatizo la kutoshika 3g, inaishia kushika edge tu. Nimejaribu kufanya setting ya apn bila mafanikio na pia nikiwa natumia mpesa au...
0 Reactions
9 Replies
966 Views
Habarini wana jamvi, Juzi kati nimenunua tv ya samsung flat screen,ni ya mtumba ila katika ku-google nikapata kujua kuwa ina tuner 3 yaani DVB-S,T na S, nikajaribu ku-search chaneli ikanigomea...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Naombeni msaada,laptop YANGU imegoma kuwaka kawaida hadi uchomeke adopter,tatizo ni nini?tatizo Lina siku ya tatu na ilikua haisumbua hapo mwanzo
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki!!! wadau wa electronics, nina hi-fi model 087 memory ic imekufa kabisa, T/24C02A. kwa mazingira niliyopo nimepata 24C02, kama ntatumia hiyo kama mbadala...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Habarini,nimedownload hilo game lkn nimekosa serial no na custom mwenye nazo au kujua nazipataje anisaidie
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Nahitaji Kununua Furbish Mag Blogger Template Kama kuna Mtu anayo naomba ani pm tufanye bihashara
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Wanajukwaa nisaidieni hilo tatizo hapo juu maana nahangaika sana
0 Reactions
2 Replies
788 Views
habari wana jukwaa...... wanajukwaa, kuna laptop yangu kila nikiweka flash inacreate shortcurt ........yaani mafaili ya kwenye flash yanakuwa hayasomi tena. kwa mwenye ufahamu na hili tatizo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa habari hasa kwenye Tv hii imenifanya niwe mtazamaji wa Tv za hapa nchini na nje ya nchi. Nimegundua kuwa Tv zetu hapa nchini ziko nyuma sana hasa kwenye quality za picha...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…