Habari wakuu,
Kwa muda mrefu nilikuwa nimekuwa nikitafuta namna ya kuzipata SABC (South Africa) channels bure. Nilichokijua ni kwamba SABC zilikuwa zikipatikana Bure kupitia satellite ya Intelsat...
Natanguliza shukurani za dhati, Mimi ni Mara Yangu ya kwanza kuagiza mzigo kutoka China. Mzigo umetumwa kwa express juzi na nimepewa tracking number. Sasa nitajuaje mzigo wangu umefika? Naomba...
Wadau!
Msaada tutani! Nilinunua saa mtandaoni kwenye hii site mvmtwatches.com. Yapata mwezi na nusu sasa sijapata mzigo wangu! Nimejaribu kufuatilia lkn nimejibiwa kuwa mzigo ulipotea kwenye...
Ndugu wana JF,kwa wale wapenda maendeleo,kama mujuavyo nchi yeyote haiwezi kuendelea kama watu wa IT hawatojitolea kwa hali na mali zao.
Kuzingatia hayo,nimekuwa na wazo hili ambapo,nitadevelop...
Kuna kitu nataka kuuza ebay, nafikiria njia ipi bora ya kupokea hela yangu.
Nina kadi ya Payoneer, Visa na Mastercard.
Wataalamu naomba ushauri.
Copy: Chief-Mkwawa WAHEED SUDAY Kang nk.
naombeni msaada na samsung s3 ila internet inafanya kazi only kwenye program kama facebook watsap na google play !! ila kwenye Browser instagram , chrome. , opera azifunguki inaandika internet...
Nitajuaje kuwa hii kitu chini ni genuine/original and not a copy from unknown source. Hii niliyonayo ( mtu anauza na kudau kuwa ni original) imetengenzwa Vietnam
Samsung Galaxy Tab S 8.4" SM-T705...
Wakuu habari zenu.
Wakuu naomba msaada kwa wataalamu Wa computer, kila nikiingia internet either kupitia Google chrome ama Nozila firefox inaload sana baadaye ninaambiwa page is irresponsive or...
Kama kichwa cha habari kisemavyo nina receiver ya media com 930 sijui nianzie wap hasa kwenye setting yake namna ya kuweka ayo mafrequence naomba ambaye anatumia anielekeze ikiwezekaka anitumie...
Habari wana jamiiforum Napenda kuchukua nafasi Hii kuwakaribisheni Wote kutembelea SMARTPHONES TANZANIA Website Mpya kabisa iliyoanzishwa kusupport watumiaji wote wa smartphones kwani ni...
Habari wana jamvi.
Natafuta fundi mzuri na anaejielewa wa LED tv yangu. Ina miaka miwili na ushee ghafla juzi imeanza kuonesha nusu screen mistari chenga chenga na nusu ingine inaonesha clear...
Wakuu habari za muda.
Nina invetor ya watt 300. Betri ( EXIDE ) N150. Pia nina pannel original kabisa ya watt 100 ( From Germany)
Niliunganisha hivyo vitu na nikawa napata umeme vizuri kabisa...
Ni jana tu nilikuwa nimefungua laptop yangu natazama Movie gafla nipo katika kutazama Ikakata Sauti mpaka sasa sielewi tatizo ni nn..
Masaada pliz kwa Mwenye uelewa kuhusu hili tatizo