Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,397
- 1,828
Wakuu habari zenu.
Wakuu naomba msaada kwa wataalamu Wa computer, kila nikiingia internet either kupitia Google chrome ama Nozila firefox inaload sana baadaye ninaambiwa page is irresponsive or unresponsive. Nahitaji msaada wenu jinsi ya kukabili tatizo.
cc chief mkwawa.